Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Mkwakwani, Tanga MBAROUK MASSOUD ametoweka nyumbani kwao huko Mikanjuni, Tanga tokea jumatatu tarehe 26/1/2009 na hajulikani alipo mpaka wakati huu na kusababisha huzuni na simanzi kubwa kwenye familia yake.
Jitihada za kumtafuta sehemu mbalimbali hazijazaa matunda hadi sasa, hivyo tunaomba msaada kwa yeyote atakaypata taarifa za kijana huyu awasiliane nasi kwenye namba za simu zifuatazo:
1. 0717 998 082 - Mrs.Massoud
2. +1 614 584 2321 Mr. H massoud( massoudhmj@hotmail.com)
3. 0754 336 128 Abdallah Massoud - Baba Mdogo
4. 0732 302 591 Moh'd Massoud - Baba dogo
5. 0713 770 191 Halima Abdallah - Mama mdogo
6.0713 475 155 WP Mwanaidi - Mama mdogo wa Iringa
7.0774 600 700 Uncle Kimolo wa Arusha
8.0715 260 377 Uncle Arch
9.0754 378 519 Uncle Japhet Makau
10. 0714 648 666 Muddy Massoud - Kaka wa Mbarouk
11. Mkuu wa shule Mkwakwani -0784 947 284
Pia taarifa inaweza kutolewa katika kituo chochote cha polisi ambacho kipo karibu.
Familia inatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano utakaotolewa.

Tanzanian Shilling Converter
3 comments:
Wekeni picha ya huyo mtu ili iwe rahisi kumtambua!
maelezo yanajitosheleza ila kama kungekuwa na picha yake ingekuwa vizuri zaidi.
poleni sana na mfanyie kazi maoni ya hapo juu kuhusu picha
Post a Comment