
Kwenye semina ya mazingira itakayofanyika Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula. Kama kuna kijana anayeishi Iringa kwa sasa na aliye tayari kujitolea awasiliane nami kwa simu: 0788 111 765.
Semina ni ya siku mbili. Idadi ya washiriki takribani 45 . Atakayekuwa tayari atagharamiwa nauli ya Iringa Mjini- Ilula ( Daladala). Chakula na pocket money. Kazi hii ni fursa pia ya kupata maarifa mapya na kukutana na watu wapya.
Tujitolee Kuijenga Nchi Yetu
/Maggid




Tanzanian Shilling Converter
4 comments:
Tea brake isomeke tea break na si kitu kingine kama hakuna kingine!
/maggid
SASA MJENGWA WEWE UNAVUTA MSHIKO KWA HAO WAZUNGU WANAOFADHILI HIVYO VYUO NA KILA MWAKA SAFARI ZA SWEDEN HAZIISHI HALAFU UNATAKA SISI TUWE WAKALIMANI BURE KWA KUJITOLEA? HIYO HAIWEZEKANI TANGAZA MALIPO WATU TUTUME CV OTHERWISE ITABIDI UFANYE MWENYEWE MAANA MAISHA YA SIKU HIZI NI PESA MBELE. SI UNAONA MAFISADI WALIVYOCHANGAMKA?
KAKA UNAWEZA KUFAFANUA UKALIMANI WA LUGHA GHANI? KISWIDI, KISWAHILI, KIHEHE, KUTOKA LUGHA GANI?
MIMI NAWEZA KUJA KUKALIMANI BURE ILA MIMI HUTUMIA ZAIDI USAFIRI WA NDEGE WA KUJA NA KURUDI SITAKI BASI WALA GARI.HAPO ILULA KUNA UWANJA WA NDEGE I MEAN AIRPORT?
Post a Comment