Kondoo huyu akiuzwa kwa shilingi 15,000 au 20,000/=, basi, kuna senti za kununulia dawa za mgonjwa zitapatikana. Pichani ni leo Jumapili, wananchi wa jamii ya Kimasai wakielekea Soko Kuu Iringa na kondoo wao.
Reactions::
3
comments:
Anonymous
said...
Ndugu Mjengwa kuna swali hao vijana wa kimasai ni ndugu wakiume au ni bibi na bwana ninamana hii ni wajinsia moja au tafautu na uliza kwa nia njema na wezangu naimani watapenda kulijuwa hilo
3 comments:
Ndugu Mjengwa kuna swali hao vijana wa kimasai ni ndugu wakiume au ni bibi na bwana ninamana hii ni wajinsia moja au tafautu na uliza kwa nia njema na wezangu naimani watapenda kulijuwa hilo
Wengi wetu huwa tunauliza uliza,
"Vazi la taifa kwa Tanzania ni lipi?".
Hili vazi la ki-Maasai linafaa sana kwa Tanzania kujivunia kuwa na "vazi la taifa", endapo wabunifu watatumia akili zao.
huyu mwenye red ni mlemavu wa macho!!!!!
Post a Comment