Jukwaani!". - Kingunge Ngombale Mwiru (Mbunge) na George Simbachawene ( Mbunge) wakiwa nje ya ukumbi wa bunge jana. ( Picha ya Ofisi ya Waziri Mkuu)
Reactions::
9
comments:
Anonymous
said...
Baba kapmnzike! usije dondokea jukwaani,punzika tu, hayo ndio maisha, hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho na hakuna marefu yasiyokua na ncha, kwa ushauli wangu ni muda mwafaka wa kuaaa chini na kumpunzika na kutafakali yale yote ya nyuma uliyoyafanya, mazuri na mabaya,
KWA NINI VIONGOZI WETU WA AFRICA, WALIOWENGI, KADRI WANAVYOENDELEA KUZEEKA NDIVYO WANAVYOENDELEA KUNG'ANG'ANIA MADARAKANI?
AU BADO WANAAMINI KUWA "VIJANA NI TAIFA LA KESHO?" SASA HIYO KESHO NI LINI. KWA MFANO, HUYU MHESHIMIWA KINGUNGE YUKO MADARAKANI TANGU BABA YANGU AKIWA KIJANA, SASA HIVI MIMI NINA WATOTO AMBAO WAKO CHUO KIKUU, BAADA YA MUDA MFUPI TU WATAHITAJI KUINGIA KWENYE AJIRA.
MZEE WETU KINGUNE BADO ANAFIKIRI KUWA "VIJANA NI TAIFA LA KESHO", HIYO KESHO NI LINI?? HII NDIYO TIMU HIYO HIYO YA KINA MUGABE, KIBAKI, MAREHEMU BANDA, MSEKWA, MALECHELA, MRAMBA, NA WENGINEO.
TANGU TANZANIA IPATE UHURU NI MIAKA 48 SASA, HUU NI UMRI WA MTU MZIMA ANAYEKARIBIA KU-RETIRE, KWA MFUMO WETU HUKO NYUMBANI.
LAKINI KUNA MAJINA YAPO SERIKARINI TANGU KABLA YA HAPO, NA MPAKA LEO WAPO TU.
BINAFI NAWASHUKURU KWA MCHANGO MKUBWA WALIOUTOA KWA KULITUMIKIA TAIFA KWA MUDA HUU WOTE. LAKINI INABIDI UFIKE WAKATI WA WAO WENYEWE KUKUMBUKA KUKAA PEMBENI, WASISUBIRI KUSHINDWA UCHAGUZI, KUUGUA, KU-PARALYSE, AU KIFO.
SASA HIVI TUMEANZA KUONA GENERATION MPYA YA WATU HAO-HAO IMEANZA KUJIPENYEZA KWENYE SIASA, NA WENGINE NDIO HAO WALIOJAA KWENYE VYOMBO VYA UMA, MABENKI NA KWINGINEKO. JE MIMI MTOTO WA MKULIMA, AMBAYE JINA LAKE HALIKUWAHI KUINGIA KWENYE VITABU VYA TANU, ASP, AU CCM, NAFASI YANGU NI IPI KATIKA KUTOA MCHANGO WA KULIJENGA TAIFA??
MAENDELEO KWA KWELI SIYO YA KURIDHISHA, HUDUMA MUHIMU NI ZA TABU,UFISADI, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, NA MENGI AMBAYO KILA MMOJA WETU ANAYAJUA, NA HAKUNA UMIHIMU WA KUYAORODHESHA YOTE KWA SASA.
HALI HII ITAENDELEA MPAKA LINI??
SASA HIVI UKIANGALIA IDADI YA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI, NI KUBWA NA INAZIDI KUONGEZEKA KWA KASI. WENGI WAO UKIONGEA NAO WATAKWAMBIA, KWA HALI YOYOTE ILE, NADHANI NITAENDELA KUISHI NJE KWA MIAKA MINGI IWEZEKANAVYO.
NA SIYO WOTE WABEBA MABOX KAMA TULIVYOZOEA KUJIITA AU KUWAITA, WAPO WENGI MA-PROFESSOR, DIRECTORS, MANAGERS, DOCTORS, LAWYERS, ENGINEERS, ENTREPRENEURS NAMING A FEW.
WATU KAMA HAWA NI CHANGAMOTO KUBWA YA MAENDELEO YA NCHI YETU. WATU KAMA HAWA WAKIPEWA NAFASI YA KU-NEGOTIATE MIKATABA YA NCHI, UNADHANI WATAKUWA NA TATIZO LA LUGHA, UA WOGA, AU KUTOJIAMINI, AU UPUNGUFU WA TAALUMA, ...?
UNAWEZA KUKUTA HATA WAGENI WANAOKUJA KU-NEGOTIATE MIKATABA WAMESOMA CHUO KIMOJA, N.K.
SASA WATU HAWA UKIWAGUSIA KURUDI NYUMBANI WANAULIZA "NIKAFANYE NINI??" KAMA NIKIHITA NITAKWENDA LIKIZO, NDUGU ZANGU NAWATUMIA MISAADA, KUNA HAJA GANI YA KWENDA KUISHI NYUMBANI?
ANYWAY, I'M NOT TRYING TO COMPLAIN, THIS IS THE REALITY. USHAURI WANGU KWA HAWA WAZEE WETU NI KWAMBA WAAMUE WENYEWE KUPUMZIKA KWA HESHIMA. MIMI NADHANI WAKITAMKA WAO WENYEWE, INAJENGA HESHIMA KUBWA, NA INATOA MFANO KWA VIZAZI VYA SASA NA VIJAVYO.
MSISUBIRI KUSHINDWA UCHAGUZI WA MAJIMBO, AU KUTOTEULIWA NA RAIS.
WAKATI NI HUU!! (HAPANA), WAKATI UMEPITA KITAMBO.
HII TURN-OVER YA MAJINA YA WATU KATIKA UONGOZI IKIDHIHIRIKA INAWEZA IKAWA CHACHU YA KUVUTA WATAALAM WETU WENYEWE AMBAO WENGI SASA HIVI WANATUMIA TAALUMA ZAO KUENDELEZA NCHI ZA WENZETU, AU WEWEKEZAJI WEZALENDO AMBAO WEMEWEKEZA NJE YA NCHI.
Mtoa maoni hapo juu 30/1/09; 2:33pm. ingawa umeongea kwa usongo kiasi fulani, lakini inaonekana hoja yako ni ya kweli kabisa na ina mantiki. Mwenyekiti, tunaomba upeleke hii mada mwanzoni mwa blog ili wengi waione na ijadiliwe. Kwa nia ya kupata maoni ya walio wengi si vinginevyo.
Nadhani nia yetu si kumshambulia Mheshimiwa hapo juu, la, yeye ni kama kiwakilishi, wapo wengi katika jamii yetu, na hii ndiyo hali halisi.
Kinguge Ngombale Mwiru amejitolea kulitumikia taifa mpaka ile siku ya mwisho ambayo anawekewa MBONO kama kuna watu linawekera hilo binafsi nige wausia wawe na stahamala hapa tulipofika Hivi kwani ana umrigani ?
Kamuulize Gadafi, usipokuwa mwangalifu tanzania inaelekea huko huko libya iliko sasa hivi. haiwezekani wewe na familia yako muishi vizuri ahalafu sisi tuishi kama watumwa. Nakuapia mkiendelea na tabia hizi hata makaburi yenu hayataonekana
9 comments:

Hapumziki. Ndio kamati za ufundi hizo.
Mpaka lini jamani ????

ASENTE MWENYEKITI
MDAU,
UGHAIBUNI
Mtoa maoni hapo juu 30/1/09; 2:33pm. ingawa umeongea kwa usongo kiasi fulani, lakini inaonekana hoja yako ni ya kweli kabisa na ina mantiki. Mwenyekiti, tunaomba upeleke hii mada mwanzoni mwa blog ili wengi waione na ijadiliwe. Kwa nia ya kupata maoni ya walio wengi si vinginevyo.
Nadhani nia yetu si kumshambulia Mheshimiwa hapo juu, la, yeye ni kama kiwakilishi, wapo wengi katika jamii yetu, na hii ndiyo hali halisi.
Mwanakijiji.
hivi nyie mnaobana pua eti apumzike, apumzike, nyie mngepumzika? utamu wa madaraka mnaujua? tatizo hamkuwahi kuwa hata viranja ndio maana mnaropoka.
duh! sasa huu UCHAWI, MYGOD

Post a Comment