Daily News ya leo ina coverage ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja Wa Mataifa Dr. Asha- Rose Migiro.
Reactions::
5
comments:
Anonymous
said...
Just kuweka kumbukumbu sahihi ivi ni kweli huyu mama alikuwa Muislamu kisha akaukana na kuwa mkristo? Kama ni kweli kuna yoyote anaejua sababu? Najua kila mtu ana haki ya kuabudu dini aitakayo lakini nauliza kwa kutaka kujua tu.Jee ilikuwa ni miononi mwa wale waliobadilisha dini au majina ili wapate admission katika shule za Kikristo?
Hii,Ni changamoto kwa wanawake kwamba nao ni viumbe kama kiumbe yeyote yule, aweza kufanya makuu katika jamii, na changamoto kwa kina baba wenye upendeleo wa watoto wa kuona watoto wa jinsia hii ndio wanastahili elimu, na wajinsia hii hawastahili elimu,kwa sababu zisizo na msingi eti mwanamke, nani alikwambia mwanake hana mchango katika jamii.Tena mwanamke ndio kiumbe mwenye mchango mkubwa katika jamii na amejaliwa sana utashi wa akili na kupambanua.Mwanamke ana mipangilio sana ya maisha ya kila siku jinsi ya kupambana nayo
Annon wa 6:44 acha hizo Weye mdini nini???What the f*&*&&* do u want to know????That is non of ur business.Changia mawazo ya maana kwa mafanikio aliopata huyu mama na heshima anayoiletea Tanzania kwa sasa NA SIO HUU UTUMBO WAKO USIO NA KICHWA WALA MIGUU.Grow up man........... mdau wa UK
Mwanamke ukiona kafanikiwa sana kielimu ni lazima awe Mkristo kama si Mkristo awe ameolewa na Mkristo kama huyo Migiro.
Ndoa za kiislamu hazitambui sana maendeleo ya mwanamke angeishia kuwa mama duni.
Wanawake wengi wa kiislamu waliosoma sana na wenye vyeo vikubwa ni ama wamepigwa talaka na waume zao au wako bila waume au wameolewa na waKristo.Au ni wale walioolewa ndoa zaidi ya mara moja au wamepora waume wa wenzao na sasa wameamua kutulia kwa wanaume wa sasa na kujifanya watu wa swala tano kuficha .
dr.migiro hakusoma ktk shule za missioni/kikristo, hivyo hakulazimika kubadilisha dini.
hata ndugu zake mfano mwantumu mtengeti malale, othmani mtengeti, na balozi radhia mtengeti msuya, wote wamesoma mpaka chuo kikuu bila kulazimika kubadili dini.
5 comments:
Just kuweka kumbukumbu sahihi ivi ni kweli huyu mama alikuwa Muislamu kisha akaukana na kuwa mkristo? Kama ni kweli kuna yoyote anaejua sababu? Najua kila mtu ana haki ya kuabudu dini aitakayo lakini nauliza kwa kutaka kujua tu.Jee ilikuwa ni miononi mwa wale waliobadilisha dini au majina ili wapate admission katika shule za Kikristo?
Hii,Ni changamoto kwa wanawake kwamba nao ni viumbe kama kiumbe yeyote yule, aweza kufanya makuu katika jamii, na changamoto kwa kina baba wenye upendeleo wa watoto wa kuona watoto wa jinsia hii ndio wanastahili elimu, na wajinsia hii hawastahili elimu,kwa sababu zisizo na msingi eti mwanamke, nani alikwambia mwanake hana mchango katika jamii.Tena mwanamke ndio kiumbe mwenye mchango mkubwa katika jamii na amejaliwa sana utashi wa akili na kupambanua.Mwanamke ana mipangilio sana ya maisha ya kila siku jinsi ya kupambana nayo
Annon wa 6:44 acha hizo Weye mdini nini???What the f*&*&&* do u want to know????That is non of ur business.Changia mawazo ya maana kwa mafanikio aliopata huyu mama na heshima anayoiletea Tanzania kwa sasa NA SIO HUU UTUMBO WAKO USIO NA KICHWA WALA MIGUU.Grow up man...........
mdau wa UK

Post a Comment