Subscribe:

Friday, January 30, 2009

Kamera Bado Ina Nguvu!


Hapa nimesimama kileleni kwenye milima ya Gangilonga. Kinachoonekana mbele ni Chuo Kikuu Cha Tumaini. Ni umbali wa takribani kilomita nne toka niliposimama. Kwa mbali kinaonekana pia kituo cha daladala cha Tumaini.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

Unamaana gani kusemakuwa kamera bado ina nguvu kwani kamera huishiwa nguvu?au ni betri ndio humalizika nguvu??

Post a Comment