Salaam ewe mwanamapambano ya fikra;
Jana tumepata majibu ya maswali ambayo tulimuuliza mwandishi wa Waziri Mkuu. Unaweza kupata habari kamili kwenye tovuti yetu pamoja na maswali tuliyotuma na majibu kama yalivyotumwa kwetu na Mwandishi wa Waziri Mkuu Bw. Said Nguba.
Kwa wale waliokosa mahojiano yetu na Mhe. Harrison Mwakyembe unaweza kuyapata pia kwa kubonyeza hapa chini au kwa kusikiliza kwenye tovuti yetu kama link hii inakupa shida.
Mhariri.
Wednesday, January 28, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
kaka umesahau kutuwekea link ya tovuti,ni gani?
Mdau
Thessaloniki,Ugiriki
Post a Comment