Subscribe:

Monday, January 26, 2009

Mbele Ni Ipogolo!

Njia ya mkato ya miguu, kutoka mjini hadi Ipogolo inaanzia hapa. Kwenda Ipogolo ' unashusha' . Ni kama dakika kumi na tano hivi. Kupandisha mjini kutoka Ipogolo pana shughuli kidogo. Ni mlima mkali. Inachukua takribani nusu saa kama una ' mazoezi'.
Reactions::

2 comments:

Anonymous said...

Umenikumbusha mbali sana, wakati huo tukiwa wanafunzi hapo Mkwawa, tulikuwa tunaporomoka hapo kwenda Kagliero Sekondari (kama sikosei)kwenye YCS, na tulikuwa tunapandisha kurudi kwa dk 5, kumi na tano nyingi sana(nauli ya kupanda gari hatuna), lakini hicho kilima ni kikali si mchezo!

Anonymous said...

E bwana hapa ni kitanzini! Mjengwa unaweza kutupa asili ya hilo jina la Kitanzini?

Post a Comment