Subscribe:

Saturday, January 31, 2009

Mdau Wa Milioni 5 Global Publishers!


Mama Dotnata akimkabidhi zawadi mdau Harith Nassor ambaye ni mwakilishi wa mdau wa milllioni 5 wa tovuti ya global publishers jana mchana kwenye duka la vipodozi la Arise Beauty Supply ambao ndio wadhamini wa shindano hilo. Wametoa simu mpya ya blackberry. Sherehe hizo fupi zilishuhudiwa pia na balozi wa nanihii na fulanazzz yake!
Reactions::

4 comments:

Anonymous said...

Jamani, huyo Dotnata hajaacha tu ushamba wa kujichubua? Ukiangalia shingo yake na uso vitu viwili tofauti. Na uzee unaingia angalia usije pata kansa mama. Mimi nadhani weusi ni mali kubwa sana katika Mtanzania. Acha ushamba wako usifirie kujichubua ndo fashion it is not!!

Anonymous said...

kweli kujichubua sio kuzuri lakini hilo la kusema shingo yake na sura vina rangi tofauti hapo mdau umezua na huo ndio unaoitwa UZUSHI.au labda sio kwenye picha hii,nimejaribu kuiangalia kwa makini sana hii picha

Anonymous said...

We uliyetoa maoni yako wa pili huna macho? Au unahitaji miwani?au na wewe umejichubua? ukiangalia tu unaona ana rangi mbili tofauti. acha UZUSHI!

Anonymous said...

Sio kujichubua tu, bali pia na kuvaa nywele bandia za kizungu. nyie kama hamtaki kuwa kama wazungu basi mmechelewa!!! wabantu mungu alitulaani, hakutuumba!!!

Post a Comment