Subscribe:

Wednesday, January 28, 2009

Mwafrika Bar 1968


Legeza Mwendo Street, Kitanzini, Iringa. Hapo ulanzi ni kwa kwenda mbele!
Reactions::

6 comments:

Anonymous said...

sjaelewa. picha hii imepigwa 1968?

Anonymous said...

dah,hapo kumbe mwenyekiti ndio hukosekanagi maeneo yako hayo.wee anon hii picha haijatimiza hata week mbona bongo kuna sehemu unaweza kuektia muvi na ukasema ni za 1936 huko

Anonymous said...

wee! Anonymous wa hapo juu, hujaelewa nini sasa? picha hiyo hata kama ilipigwa Mwaka huo, ndivyo palivyo mpaka hivi leo ndivyo hivyo, tangu lini,wabongo wakawa na mazoea yakurekebisha mazingira,

Anonymous said...

mwenyekiti kumbe mna baa ya gorofa sio?kweli mnatesa sana huko

Old School. said...

Mwenyekiti,
Umenikumbusha mbali sana, wakati wa nyuma hiyo ilikuwa bar maarufu sana, watu wakipiga bia na nyama choma, hapo palikuwa makutano ya watu wa Kitanzini na maeneo ya jirani. Inaonekana sasa imekuwa kijiwe cha pombe za nyumbani.

Anonymous said...

Huo mwaka ni kuonyesha jengo lilipojengwa/kutumika. Majengo mengi ya zamani huambatanisha na miaka iliyojengwa........Sasa mwenyekiti mbona hujajibu tuhuma? Hivi ni kweli hayo ndio maeneo yako ya kujidai?

Post a Comment