
Jinamizi la Mziki wa Dansi linategemewa kuwapandisha! mzuka na washabiki katika onyesho la "Fest Africa " litakalo fanyika 7 February 2009 hukoTampere,Finland,ambako bendi ya Ngoma Africa na "Bongo Dansi" inatarajiwa kutumbuhiza,bendi hiyo yenye maskani yake nchini Ujerumani,inayoongozwa na mwanamziki Ras Makunja,yenye tabia ya kuwadatisha hakili washabiki kwa mdundo wake wa dansi la bongo,The Ngoma africa ambayo inawanamziki mahiri wenye utaalamuwa mziki! wakiwemo mpiga solo mashuhuri Christian Bakotessa aka Chris B,na wengineo.Mzimu huo wa Dansi "Ngoma Africa band"umetajwa kuwa ni bendi bora katika maonyesho mengi ya kimataifa barani ulaya,na ni bendi pekee iliyofanikiwa kuwanasa washabiki wa kimataifa wa matabaka yote na kuwachezeja mdundo wa "Mziki wa Dansi" kutoka Uswahilini.




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
jamaa wakali wa mziki,mzki wao umeenda shule kiuhakika
Post a Comment