

| Hizo si picha ngeni kwa wapenzi wa muvi za kinaijeria.Justus alianza kuekti 1968/69 nchini Ujerumani,alikuwa ameenda kusomea uhandisi.Desmond ni kijana mchumi.Lengo ni kueleza umuhimu wa kuelimika kunavyoweza kukupa uwanja wa kutambuka.TUKAZANE HATUJASHINDWA! Clarence Mahunda |




Tanzanian Shilling Converter
3 comments:
Nenda kwanza wewe kajifunze, nani? alikwambia Tanzania hawawezi kuigiza? ufinyu wa mawazo tu! kazia kila kitu manaona wenxenu ndio wanajua! jivunie cha kwako babu!
Kuna ukweli juu ya kiwango kibovu cha kuigiza na hata kuimba (hasa huu muziki usingiziwao kuwa wa kizazi kipya) Ubinifu ni kitu kikubwa na pia elimu na ujuzi katika utendacho pia ni suala muhimu. Hakuna ubishi kuwa kuna mapungufu na tena mengine ni ya kusikitisha maana hayaonekani kustahili kuwepo. Lakini bado yanatokea. Yahitajika elimu na ubunifu wa hali ya juu kwenye fani uliyoitaja Kaka.
Blessings
Anon wa 2:16 28Jan2009 mbona umejibu kwa kuchemka? Wewe Kanumba nini? Tulizana kijana, hoja imewekwa, jadili badala ya kuanza kubonda
Post a Comment