Subscribe:

Tuesday, January 27, 2009

Wingu!


Wingu kubwa la mvua linaonekana juu kulia kwenye milima ya Gangilonga mjini Iringa. Ilikuwa juzi mchana. Ukiwa mzoefu kidogo wa Iringa huna haja ya kukimbilia mwamvuli, maana wingu hilo lilimaanisha mvua inanyesha ndani ya wilaya ya Kilolo, na ndivyo ilivyokuwa.
Reactions::

0 comments:

Post a Comment