Msaada: Ina maana gani kusema asali mbichi? Huwa najiuliza maana si mara ya kwanza kusikia. Je hii asali mbichi inahitaji matengenezo zaidi kabla ya kuliwa? Inatengenezwaje?
Hi Maggid, Mimi ni msomaji mzuri wa makala zako, ninapenda kutembelea blogg yako kwani nami ninashughulika na community development nipo UK, nilifanya BA Hons in Playwork Youth and Community Development at University of East London, sasahivi ninafanya kazi na National Health Services kama Child Development Worker, ninatembelea wazazi majumbani, ninawakaribisha kwenye groups na kuofer support and information on services available. Tofauti ni kuwa huku matatizo ni watoto kuchelewa kuongea kwa kuwa hawapati stimulation ya kutosha kwani society is very isolated, unene wa kukithiri kwa watoto wadogo kwahiyo kuwashauri wazazi jinsi ya kupikia vyakula bora watoto wao ambavyo havina mafuta mengi. Kushauri watoto wale matunda kama snaks kuliko sweets, chocolates and icecreams.
Nimetokea Muheza, Tanga kwakweli kuna ardhi yenye rutuba sana, lakini ninavyofikiri ni kuwa watoto wa kule hapati protein ya kutosha, kwani sisi si walaji sana wa nyama.
Ninakumbuka wakati nikiwa huko, watu wengi vijijini walifuga mbuzi. Wazo langu lilikuwa ni jinsi ya kuwakopesha wakinamama pesa ya kununulia mbuzi ambao watawafuga na kuwaelimisha kuwa wanaweza kupata maziwa ya uji wa watoto wao kutoka katika mbuzi hao. Kama project ikifanikiwa wanaweza wakawa wanachinja na kugawana nyama ili kuwezesha watoto wapate protein ya kutosha.
Sio lazima uitoe hii comment, unaweza kunibu kupitia batulimkumbo@hotmail.com
3 comments:
Mwenyekiti HAYA NI KWELI!!!!!!!!!!
Ohhh Tanzania.
Mwenyekiti Tupe Picha ya ng'ombe Ireland
Msaada: Ina maana gani kusema asali mbichi? Huwa najiuliza maana si mara ya kwanza kusikia. Je hii asali mbichi inahitaji matengenezo zaidi kabla ya kuliwa? Inatengenezwaje?
Hi Maggid,
Mimi ni msomaji mzuri wa makala zako, ninapenda kutembelea blogg yako kwani nami ninashughulika na community development nipo UK, nilifanya BA Hons in Playwork Youth and Community Development at University of East London, sasahivi ninafanya kazi na National Health Services kama Child Development Worker, ninatembelea wazazi majumbani, ninawakaribisha kwenye groups na kuofer support and information on services available. Tofauti ni kuwa huku matatizo ni watoto kuchelewa kuongea kwa kuwa hawapati stimulation ya kutosha kwani society is very isolated, unene wa kukithiri kwa watoto wadogo kwahiyo kuwashauri wazazi jinsi ya kupikia vyakula bora watoto wao ambavyo havina mafuta mengi. Kushauri watoto wale matunda kama snaks kuliko sweets, chocolates and icecreams.

Post a Comment