Subscribe:

Monday, February 23, 2009

Dr. Asha- Rose Migiro Wa Kesho!


Leo nilitembelea Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa. Dr. Asha- Rose Migiro akiwa Waziri wa Maendeleo Ya Jamii Jinsia Na Watoto alifika Munguri Agosti 14, 2001. Bweni la wanawake ( pichani) limeitwa kwa jina lake kama kumbukumbu. Mkuu wa Chuo hicho mama Anna Mokoki amenieleza wako mbioni kuandika jina kamili la ' Dr. Asha!'
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

Wamependeza sana wadogo zangu. Hapo hawajapaka mkorogo. Hebu fikiria mwenyekiti, huo si urembo asilia? Nachukia mimi mwanamke anayejibadilisha kama kindege chenye rangirangi! Yaani basi tu. Ningekuwa na uwezo ninge.... sipendi kabisa mirangirangi ya akina dada zetu.

Mlalahoi

Post a Comment