Ustadhi! mwenyewe amepoa anajichana hindi lake! taratibu.Anafanana na wafrica wanaoishi kwenye jagwa la sahara,saharani people, wembamba,warefu, na pua zao walio wengi ndefu, kweli Tanzania ina watu wenye asili ya kiafrica wenye muonekano mbalimbali! wengine walitoka sehemu mbali mbali walikua wakizunguka ndani ya bara la Afrca, kwa muda wa miaka mingi sana
1 comments:

Post a Comment