Subscribe:

Wednesday, February 25, 2009

Kijiwe Cha Kahawa Chenye Tofauti!

Nimekikuta leo Nzega. Wanaume wanakaribishwa.
Reactions::

4 comments:

Anonymous said...

Haya mwenyekiti,bhoziko mwaka!olale mbh'ola! haya wewe simtani wangu wakati unaelekea Tabora mjini ukitokea Nzega mimi kijijini kwangu ni barabarani kabisa unapita panaitwa kijiji cha Nyambele zamani ilikuwa Unyanyembe!!!bhagishage ko!

Anonymous said...

Pole mtani wangu mimi naomba uniletee zawadi ya matobholwa,maparage,nkuni,ntalali,maembe,nsalansi,mbuguswa,mantonga,ndati na njogoyogo mtani wangu nitafurahi sana kwa hizi zawadi huhitaji pesa miti ilipandwa na mungu kazi yako wewe nikuchuma tuuu,
wabheja sana.

KIPILI said...

Anon wa Feb 26, 12:04:00 AM EAT

Umenikumbusha mbali sana enzi zangu nilikuwa nayajua matunda pori yote, kwenye list yako umesahau gantumbili, mandomilo, mantobho, magongoti, mfuru, mampundu, zambarau, ongeza na hayo yote hapo juu.

Hii Tabora maeneo ya Ndebhelwa kwa Sizya Mlilo kama unamjua

Anonymous said...

mjengwa wewe noma umenikumbusha home kabisa,mitaa hiyo wlipokaa hawo wauza mgahawa ni Singida road tunapaita ila cwafahamu majina yao.kwetu ni mitaa ya Ushirika kwny vilabu vya pombe naona huko hukufika.naamini ckunyingine ukifika nzega utatembelea mitaa hiyo.

Post a Comment