Subscribe:

Saturday, February 28, 2009

Kuna Wanayotafuta Maji Kama Dhahabu


Picha hii niliyoipiga leo itabaki katika kumbukumbu zangu za safari ya Kanda ya Kati. Mama huyu wa kijiji cha Fufu ni kielelezo cha tatizo kubwa la maji linalowakabili wengi.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

KISIMA CHA PAMPU YA MKONO KINA COST KAMA 2000000,{MILLIONI MBILI }TU WAKATI MAFISADI WANALAMBA KILA SIKU MABILLION YA SHILLINGI.

Post a Comment