Mazoezi ya mpira ina maana pia ya kutoa mawaidha kwa wachezaji. Pichani ni kijana Saitoti, kocha mkuu wa G-Kids. Miye kocha msaidizi ni mpiga picha pia wa timu!
Reactions::
4
comments:
Anonymous
said...
Hapo panaonekana ni pazuri,na watoto wako kwenye mazingira mazuri, ya fysical and mental. Lakini tofauti yake ni hivi sio watoto wote! wale mwenzangu na mimi mzazi hana uwezo, unaishia kuangalia kwenye fance tu.Na mwisho nawapongeza kwa kazi nzuri ya kuwaweka vijana feet, kifysical and mental.
Mwenyekiti, Huu ndio uzalendo unaotakiwa... unanena kitu kwa vitendo. Hongereni sana sana kwa kweli kwa kujitolea kwa kazi hii, maana naamini ni juhudi zenu binafsi. Mimi karibia naridi Bongo nikifika huko ntauktafuta tu Mwenyekiti angalau tuongezee mipira mingine miwili. Ndo kuchanga-changa huko. Mdau Mzalendo.
4 comments:
Hapo panaonekana ni pazuri,na watoto wako kwenye mazingira mazuri, ya fysical and mental. Lakini tofauti yake ni hivi sio watoto wote! wale mwenzangu na mimi mzazi hana uwezo, unaishia kuangalia kwenye fance tu.Na mwisho nawapongeza kwa kazi nzuri ya kuwaweka vijana feet, kifysical and mental.
Safi sana mwenyekiti. Hapo ni Iringa International School. Endelea kuinua vipaji.
mdomo unamkaba zidane,hehehe mdomo bwana mdomo unampiga hata tyson
Mwenyekiti, Huu ndio uzalendo unaotakiwa... unanena kitu kwa vitendo. Hongereni sana sana kwa kweli kwa kujitolea kwa kazi hii, maana naamini ni juhudi zenu binafsi. Mimi karibia naridi Bongo nikifika huko ntauktafuta tu Mwenyekiti angalau tuongezee mipira mingine miwili. Ndo kuchanga-changa huko.
Mdau Mzalendo.
Post a Comment