ni muda wa shule? au amesha toka shule! maanake hii biashara sio yake kwa umri wake anatakiwa awe shule!
Hayo matunda poli! asilia,ni mazuri sana, kwani yana mineral nyingi! kwa mjini kuyapata shughuli, ndio uzuri wa shamba na vyakula vya nature.
Hayo kwenye mafungu yanaitwa matobho kama big G vile yanapendelea kuota sehemu zenye vichuguu.
srekali inasema inafanya kazi safi, matunda na mbogamboga zinanyauka kwa kukosa soko. mkulima atapata wapi ari ya kuongeza uzalishaji.
4 comments:

Post a Comment