Subscribe:

Thursday, February 26, 2009

Milima Na Mabonde Ya Sekenke


Ni kati ya Sindida na Tabora
Reactions::

5 comments:

Anonymous said...

Mwenyekiti vipi umechoka nini? Nimeangalia kwenye ramani na sijaona Sindida ipo wapi? naomba unieleweshe. Asante

Anonymous said...

Naona huko kuna wabunge wanajali mbona barabara yao nzuri tofauti na Dodoma/Singinda?sehemu zote ni nzuri au hako tu kakipande? pole mwenyekiti kwa safari ndefu.

Ombi maalum kwako naomba uchukue form za kugombea ubunge mwaka 2010wewe ndio unaelewa maisha ya Mtanzania halisi sio hao wanaouchapa tu usingizi bungeni wanashindwa hata kuwatembelea wapiga kura wao ambao ndio waajiri wao.

Anonymous said...

Mwenyekiti, hii barabara inaonesha kama ina lami au ni macho yangu? Je hii lami ni kutokea Dodoma-Mwanza? Naomba kuwasilisha.

Anonymous said...

anony Thu Feb 26, 03:22:00 PM EAT mbona hujamchagulia mwenyekiti jimbo la uchaguzi 2010? mie naona gombea jimbo la blogu vinginevyo tutayakosa haya tuyapatayo katika blogu ya tanzania halisi.

Anonymous said...

Ahsantesana mwenyekiti kwa kutuhabarisha kuwa sasa mlima wa Sekenke kuna lami.
Sitasahau niliharibikiwa kasuzuki kangu hapo maeneo ya Sekenke nikiwa naelekea Tabora kikazi kwa mwezi 1. Ilibidi kagari kavutwe mpaka Singida. Kimbmbe kilikuja kwenye Spare. Mji huo haukuw na spare za Suzuki. Spare ziliagizwa Arusha. Ilibidi nichelewe kazini Tabora. Ila ka Suzuki kalitengenezwa na nikafika nako TBR na kurudi nako Dar bila matatizo.
Wenyeji wa hapo ni wakarimu mno mno. Walinikaribisha Lunch na kunitafutia gari la kunivuta.

Post a Comment