Subscribe:

Wednesday, February 25, 2009

Mnaojua Kifini Humu Ndani Kuna Biashara Gani?

Nimeyakuta maandishi hayo kijijini Msingi, Iramba Mashariki jana jioni.
Reactions::

12 comments:

Anonymous said...

yaani kaka Mjengwa umenifurahisha tuletee picha zaidi za Iramba .
Kwalegile ntodo!lakini one day,ngoja tupige box kidogo.
Mdau ughaibuni.

Anonymous said...

PICHA ILIYOBANDIKWA UKUTANI INAELEZA SHUGHULI ZINAZOFANYIKA NDANI YA NYUMBA HIYO.

mgogo muuza kahawa! said...

mwenyekiti hiyo inanukia kama sehemu ya kuuza pombe za kienyeji,ikiwemo ile iliyoharamishwa ya gongo!nimekosea?kifini mie sijui ila kwa uzoefu wa kigogo nilionao,

Anonymous said...

hapo nimeelewa tervetuloa maana yake ni karibu ila hiyo ingie duuu kifini cha ndani naona na sijui kimefikaje huko.

Anonymous said...

Hiyo lazima ni kilabu cha bwiiiiiii

Anonymous said...

Karibu Cheers, meaning sehemu ya kinywaji maana ndio kwenye cheers

Anonymous said...

Hiyo ni klabu ya vivywaji au bar. Na kwa Kifini Tervetuloa ni karibu na Hölkynkölkyin, ni slang ambayo ina maanisha cheers.

Anonymous said...

HII NI INN, INN NI HOTELI YENYE CHAKULA NA MALAZI KWA WATU WENYE UWEZO.

Anonymous said...

Hiii hiyo kali sana,sasa kifini kilifikaje huko,du!kama si mbongo basi wafini ni watembezi sana,hapo ninavyojua mimi Tervetuloa ni karibu,na hölkynkölkyn ina maana sawa na kippis ama cheers,sasa kazi kwako kuyaunganisha ilikutengeneza sentensi yenye maana,ila kifupi ni katika yale mambo yetu ya ugimbi,chwaaa

Anonymous said...

tuwekee kwa karibu tuone inasomekaje hiyo ya chini atleast ya juu manake karibu tervetuloa but ya chini haionekani vizuri picha ya karibu tunaomba tukupe maana
mdau wa blog yako
ufini

Anonymous said...

Kilevi na gesti

Anonymous said...

mdau hapo juu inn sio hotel yenye chakula na malazi kwa watu wenye uwezo, INN, ni aina ya hotel ambayo ni simple na inatoa limited services, kwa mfano zamani zilikua zinatumika kwa kupumzikia tuu au kuhifadhi mizigo na kwa waenda kwa farasi ilikua ni mahali pa kubadilishia farasi, anaacha waliochoka na kuendelea na wale wenye nguvu.hii ndo iliyopelekea kuwa na hotel nzuri siku hizi,

Post a Comment