Leo asubuhi nilishuka uwanjani kwa mazoezi ya timu ya watoto niliyoshiriki kuiunda, inaitwa G-Kids na mimi ni kocha msaidizi. Kocha wetu mkuu anaitwa Saitoti. Ndiye Scolari wetu wa Kimasai! Naam. Mpira una vitu vingi, kuna vya muhimu pia. Mpira ni pasi kwa maana ya kuondokana na dhana ya "Anakwenda Lunyamila, Lunyamila anakwenda!" Mpira wa kisasa unahitaji uwezo wa mchezaji katika vitu vitatu; umiliki wa mpira, ufundi na ubunifu. Anatakiwa kuwa na uwezo wa kumiliki mpira na siyo tu kusafirisha mipira ( ball transportation). Ni muhimu kwa mchezaji kukimbia na mpira na siyo kukimbiza mpira. Na katika yote hayo , uwezo wa kutoa pasi 'zenye macho'.Saturday, February 28, 2009
Mpira Pasi!
Leo asubuhi nilishuka uwanjani kwa mazoezi ya timu ya watoto niliyoshiriki kuiunda, inaitwa G-Kids na mimi ni kocha msaidizi. Kocha wetu mkuu anaitwa Saitoti. Ndiye Scolari wetu wa Kimasai! Naam. Mpira una vitu vingi, kuna vya muhimu pia. Mpira ni pasi kwa maana ya kuondokana na dhana ya "Anakwenda Lunyamila, Lunyamila anakwenda!" Mpira wa kisasa unahitaji uwezo wa mchezaji katika vitu vitatu; umiliki wa mpira, ufundi na ubunifu. Anatakiwa kuwa na uwezo wa kumiliki mpira na siyo tu kusafirisha mipira ( ball transportation). Ni muhimu kwa mchezaji kukimbia na mpira na siyo kukimbiza mpira. Na katika yote hayo , uwezo wa kutoa pasi 'zenye macho'.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
"nyumbani ni nyumbani hata kama kitanda kina kunguni"nakusalimia mwenyekiti wangu na wanakijiji wote hapa barazani kabla ya kuanza kutawanya vijikombe vya kahawa na kuanza kuwamiminia!ila swali kwako mwenyekiti wapi fc lipuli?mkoa wa iringa ulikuwa unasifika miaka ya nyuma kidogo katika nyanja ya michezo,ila sasa kulikoni?
Post a Comment