Weee Any. No 1, unaonekana umeishi ughaibuni siku nyingi hadi umesahau nini kinafanyika Tz na Afrika. Mbona hiyo kawaida sana kwa mzee wa miaka 60 kuwa na mke mwenye umri wa miaka 20 na mtoto wa miaka 4! mabadiliko huja taratibu, tena hizi shule za kata zitaongeza japo mwanga ili watu waelewe haki na wajibu wao katika jamii.
Waungwana hapo Mjengwa kanikumbusha mbaaaliii maana Dingi yangu ndio zilikuwa zake hizo, siunajua maisha ya vijijini enzi za ujamaa. Kasheshe ujikwae uanguke, utamsikia Dingi akifoka "mtoto mjinga sana wewe, ulikuwa unashangaa nini?" Yeye akijikwaa utasema "aah hii njia nayo visiki vimezidi, hata wazee vinataka kutudondosha", yote maisha kaka. Hakika tumetoka mbali na tuendako mbali pia!
2 comments:
Mjengwa Huyo ni mtoto wake au ni mjukuu wake mbona hiyo picha inatupa sura tafauti ?
Weee Any. No 1, unaonekana umeishi ughaibuni siku nyingi hadi umesahau nini kinafanyika Tz na Afrika. Mbona hiyo kawaida sana kwa mzee wa miaka 60 kuwa na mke mwenye umri wa miaka 20 na mtoto wa miaka 4! mabadiliko huja taratibu, tena hizi shule za kata zitaongeza japo mwanga ili watu waelewe haki na wajibu wao katika jamii.
Waungwana hapo Mjengwa kanikumbusha mbaaaliii maana Dingi yangu ndio zilikuwa zake hizo, siunajua maisha ya vijijini enzi za ujamaa. Kasheshe ujikwae uanguke, utamsikia Dingi akifoka "mtoto mjinga sana wewe, ulikuwa unashangaa nini?" Yeye akijikwaa utasema "aah hii njia nayo visiki vimezidi, hata wazee vinataka kutudondosha", yote maisha kaka. Hakika tumetoka mbali na tuendako mbali pia!
Mdau toka Oslo, Norway
Post a Comment