Subscribe:

Saturday, February 28, 2009

Nikifika Hapa Nimefika Iringa


Hata kwa kukimbia ni umbali wa nusu marathoni, nazimudu! Mbele kushoto ni uwanja wa ndege wa Iringa maarufu kama ' Nduli Airport'. Pichani ni jana jioni.
Reactions::

1 comments:

Bennet said...

Nchi ya Iringa inaonekana kijani kibichi sababu ya mvua zilizonyesha hivi karibuni ingawa sio msimu wake, tatizo kubwa ninaloliona ni uharibifu wa mazingira kwa kukata miti hovyo na wakati huo huo hamna miti inayopandwa. Mwenyekiti mwaka huu umepanda miti mingapi? kama hujapanda je unampango gani kuhusu upandaji miti ukishirikiana na wana Iringa wenzio? nawakilisha hoja

Post a Comment