Subscribe:

Thursday, February 26, 2009

Nimefika Kahama Shinyanga

Jioni ya leo. Ni baada ya kufanya kazi katika vyuo vya Mwanhala na Nzega. Kahama ni mji mdogo uliochangamka. Kuna mtu ananiambia Kahama ni wilaya inayokua kwa kasi sana baada ya Kinondoni.
Reactions::

4 comments:

Anonymous said...

Mwenyekiti!!! nimekuvuri kofia kwa kuzunguka kama mtalii! manake kiasi kwamba unatupeleka tanzania nzima.Alafu nimejifunza mengi kuhusu nchi yangu Tanzania.ni nchi nzuri, inayopendeza, yenye milima na mabonde na maziwa ya kutosha na ardhi yenye rutuba ya kutosha, na uoto wa asili na mvua kiasi, nice photo, nice country and a big country.

Anonymous said...

mwambie anaota huyo au hajui kama posta na kariakoo ni wilaya ya ilala???na JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT?IKULU SIJAAMUA HAPO KUITAJA AKILETA UBISHI NAMTULIZA NA NATIONAL STADIUM TEMEKE MNYALU HUYO

mgogo muuza kahawa! said...

mwenyekiti naomba nikuite mzururaji!napenda sana unavyo tusufungua macho na kutufanya tuondokane na mawazo tuliyokuwanayo awali(kuwa kuzuri ni dar es salaam tu)ila huwa hasa unatafuta nini huko kote?na vipi kuhusu mauaji ya albino?kuna jitihada zozote ambazo zinafanywa kupitia hizi safari zako angalau kuanzisha juhudi za kukemea ushetani huu?(maaana siwezi kuita unyama)hamna mnyama anaeishi namna hii,umenikumbusha kale ka usemi ka zamani"singida dodoma,singida dodoma"

Anonymous said...

Hivi wewe mgogo muuza kahawa ng'ombe wako wamo kweli zizini?

Namsaidia kujibu mwenyekiti wewe huko ulipo unatafuta nini? tatizo lenu wagogo mmezowea sana umatonya kazi yenu kubwa kuweka minyaa kwenye macho halafu mnajifanya vipofu mkaombe,teh,teh teh mbukweni? wagogo pia watani wangu bwana,mwenyekiti yuko kazini wewe.

Post a Comment