Subscribe:

Wednesday, February 25, 2009

Nimefika Nzega

Jana usiku nikitokea Singida.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

Duu mkuu unavinjari vilivyo Tz yetu. Hasa wewe unaenda wapi? maana naona huachi kituo kama mwenge wa Uhuru hahahaha!!

Ebwanaee ukifika huko kanda ya ziwa usiache kuwapa ujumbe wa kuachana na imani kuwa utajiri unapatikana kwa viungo vya ALBINO. Waambie wana wajibu wa kulinda maisha na kuheshimu utu wa kila mwana wa adamu chini ya dunia hii tulopewa na Mwenyezi.

Kila la heri kaka
By mdau wa Oslo, Norway

Post a Comment