Subscribe:

Thursday, February 26, 2009

Nimeingia Shinyanga Mjini

Jioni ya leo nikitokea Kahama. Shinyanga Mjini imetulia. Nimevinjari mitaani hata usiku wa saa tatu, kuna taa za barabarani pia.
Reactions::

7 comments:

Jaduong Metty said...

Mjengwa,

Nisalimie hapo Shycom. Nimepiga buku enzi hizo angalau mambo mazuri. Nilipita Juni mwaka jana niliona kama mji unapiga hatua za kinyume-nyume.

Anonymous said...

ukipata nafasi Mh Mwenyekiti iweke jamvini picha ya shule ya msingi mwenge na Shycom institute maana ndio shule zangu mdau wako,,,usihangaike sana lakini mwenyekiti maana najua bado unasafari ndefu,,nimepamiss sana Shy-city thats all,,

Anonymous said...

mwenyekiti tafadhali tupe picha ya mwenge primary school mi mwenyewe nimepiga book hapo, nilimaliza darasa la saba mwaka 1987, na kina rajabu bwanga, nusu, richard mtaita,joseph magoke, ismaili, martha shirima,waziri,joyce elihaki,juvenali,james dogani,sebastian nonni walimu walikua mwalimu masanja, matatizo, rehema, elihaki, noni. duh ebwana enhe bonge la kumbumbu, fanya fasta mwenyekiti.

Anonymous said...

Mwenyekiti
usiku wa saa tatu! duu yaani hio ni too late au..

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Karibu home Bwana Mjengwa. Ukikamata basi kutokea hapo na kubisha nyumbani kwa mzee wa vijisenti na Bwana Mapesa basi utakuwa umefika nyumbani kabisaaa!!!!!!

Juce said...

Hi, kwa aliyeandika kuhusu mwenge primary school, just reminden me a lot, Mie ni joseph magoke and yeah 1987 tulipomaliza all those name!! last nilikuwa mwenge around 2005 shit, we must have a reunion soon, gonna search on facebook for those name

Juce said...

Mwenyekit wewe ni nani? face yako naikumbuka wewe unanikumbuka? nilitesa sana buluba secondary school. Mie ni joseph magoke, a.k.a juce. mwenyekiti wewe ulisoma buluba au mwenge? hawa jamaa rajabu bwanga, nusu, richard mtaita,joseph magoke, ismaili, martha shirima,waziri,joyce elihaki,juvenali,james dogani,sebastian nonni walimu walikua mwalimu masanja, matatizo, rehema, elihaki, noni bila kumsahau richard kilema wote nawakumbuka. Nikoa sweden kwa mnaonifahamu pliz my face book is juce magoke or email me @ magoke@gmail.com

Post a Comment