Subscribe:

Monday, February 23, 2009

People's Club: Aliko Alianzia U-Dj Hapa!


Hapa ndipo mwenzetu Aliko Mwakanjuki alipoanzia U-Dj wa muziki. Ni Singida Mjini. Picha hii ni ya leo alasiri.
Reactions::

6 comments:

Aliko said...

Maggid..
Shukrani kwa kutuletea hii kona machoni. Kipindi kile cha double Cassette deck na amp Domestic, number one tunes zilipatikana kwenye cassette unaskip tunes na peni ya bic discolights bulb watts 40 kudeam the place up za rangi vilevile ningependa kuwa tag wafuatao ktk pilika hizi..Bomani group(wajanja watupu),Dj CoolJoe numberone dj mkoani, dj shosi,Steve Tall,Too sweat(Dsm), Shaba (k) wachezaji Disco maarufu Mkoani Sgd Gody black,Mashabiki kibao wakina BG a.ka Kibunango,Jacky k, the Nkulus'Sankas,Marwas,mody K,Ronnie(R.i.p)Husseni (k),Mbaga's na wengine wote tulio kuwepo Mkoani during the 80's. libeneke linaendelea Mdau

kibunango said...

Naona siku hizi wameongeza sehemu ya kulala! Safi sana

Makelele said...

Nyuma ya Peoples Club kulikuwa na uwanja, kama kumbukumbu zangu nzuri ulikuwa unaitwa Majimaji. Tulikuwa ndio tukiwa na mazoezi ya mpira wa miguu, kukimbia nk wanafunzi wa Shule ya Msingi Utemini tunafantia hapo. Jee Mwenyekitu huu uwanja bado upo?, ama pameshajengwa.

kibunango said...

Yeah.. Nakumbuka kuwepo kwa uwanja huo, ndio uwanja ambao nilijifunzia kupanda na kuride pikipiki...

Anonymous said...

yah na mimi nimekumbuka mengi sana,msisahau matozi wote umewataja dj alipo lakini kumbuka kulikuwa na watoto wa uswazi vilevile kutoka utemini kama jina lenyewe,na mlikua mkileta ubishoo tukilianzisha mziki wake disco lazima lifungwe,uwanja hapo nyuma majimaji ndio then kuna chuo fdc pembeni,shose yuko dar muuza sura,god black mpiga debe,alfa taxi dreva,bila kusahau disco utamaduni,police mess kipindi shose anacheza "maiko jackson njoo,sitakii kam hutaki nenda"shebadoo,haha kaka mjengwa tuongeze picha za singida mjini hasa maeneo ya stend,singida motel,sokoni yani we jaza tu na safari unarudi pita manyoni kaka tuone road kama inapitika,bila kusahau lile boma la mtemi senge na mtaa wa wake zake utemini.mdau stockholm

Makelele said...

Anony juu umenikumbusha tifu la watoto wa Utemini. Tulikuwa tukicheza nao mechi uwanja wa Bomani, huu uwanja ulikuwa chini ya nyumba ya RDD kama unaelekea Singidani, ambapo kando yake ilijengwa nyumba ya mhindi anaitwa Jaswant, na pia nyumba ya Mzee mmoja alikuwa Zimamoto anaitwa Lipendele. Lakini siku zote Utemini walipocheza nasi Bomani tuliwashinda. Aliko umenikumbusha wazee wa Bomani (Mbaga alikuwa na mtoto anaitwa Furahini, Nkurlu mwanae Lucy, Sanka).

Post a Comment