Wagosi wanakwambia ukitaka kufaidi kama watoka Dar shurti Tanga wende na Raha Leo.Hapa ni Visiga na hili ni mojawapo.Kwa nyuma limeandikwa CHUDA RAHA.Chuda ni moja ya vitongoji vya Tanga mjini.Karibuni mtembelee Tanga.Imeletwa na mwenzetu Clarence Mahunda, Tanga




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
wapii rama chuda!!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment