Subscribe:

Tuesday, February 24, 2009

Singida Ina Maziwa Yake!


Pichani ni ziwa Singidan, lingine ni Sindai. Singida Mjini inazidi kupanuka na kupendeza.
Reactions::

13 comments:

Anonymous said...

=MCHOMEKO=

Hivi, sisi Watanzania wenyewe hatuwezi kuwekeza katika Kilimo?

Nauliza kwa sababu zifuatazo:

Tanzania inawataalamu wengi tu wa kilimo,

Tanzania inaardhi kubwa na nzuri sana kwa Kilimo

Tanzania ina Watu wake wengi tu walioko nje wenye uwezo wa kuja hapa nchini na kuwekeza katika kilimo.

Mbona kuna wale wa Mara waliojitokeza na kufanya vitu vyao katika Ujenzi wa CHUO?

1.Analyst
2.BAP

Naomba maoni yenu kwani ninyi ni miongoni mwa wachambuzi makini sana.

Anonymous said...

SASA INABIDI WAOTESHE MELI.

Anonymous said...

kaka mjengwa safi sana kwa picha za singida,mimi ni mzawa wa hapo ila sindai nadhani ilitakiwa kuwa kindai,kaka mjengwa nilikuomba kuniwekea picha za shule nilizosoma al haramain na benjamin william mkapahigh school mwaka jana nimesubiri mpaka nimejuta ila labda hujapata muda wa kupitia maeneo hayo, ntaendelea kusubiri kaka,nakutakia kila la kheri.

Anonymous said...

hiyo sehemu ni nzuri sana. i hope watu watatunza mazingira yake ili pazidi kupendeza.

Anonymous said...

Maggid, nimeipenda sana hii picha na nimeiweka kama screen saver yangu,natumaini hutajali. Kazi nzuri na shukrani sana.
Subilaga.

kibunango said...

Natumai ulikuwa na maana ya Kindai

Anonymous said...

vp na yale mawe yapo?karibia na uwanja wa namfua na sehemu nyinginezo nina uhakika tukiyatifua yale tutapata madini tukaleta wawekezaji waje watuibie mawe yetu

Anonymous said...

WEWE mkali Mkuu wa wilaya ya nanii yeye nje ya nchi,wewe umeimaliza Tanzania

Makelele said...

Mwenyekiti,
masahihisho kidogo, Ziwa la pili ni Kindai na si Sindai.

Anonymous said...

yah ni kindai na kuna samaki watamu kweli hapo,pia singidani nakumbuka walikua wanatengeneza chumvi sijui kama bado wanaendelea

Anonymous said...

Nasikiaga tu dagaa wa kigoma na dagaa wa mwanza hayo maziwa hayatoi dagaa na uvuvi ukoje hapo magufuli hajafika huko?

Anonymous said...

TANZANIA NI LAZIMA WAWEKEZAJI WA KILIMO WATOKE NJE???

ZIMBABWE

Anonymous said...

serikali inatakiwa kuwasaidia wananchi kuwekeza kwenye kilimo badala ya kuwasaidia wageni kwa kuwasaidia wasilipe kodi na vinginevyo halafu hao wageni wakishapata lao wanakimbia. afadhali wakiwasaidia wananchi kila kitu kitabaki nchini. itakua vibaya kama mahali pazuri kama hapo patapewa wageni.

Post a Comment