Subscribe:

Wednesday, February 25, 2009

Tabasamu La Kinyamwezi!

Nzega hapa.
Reactions::

3 comments:

Anonymous said...

mdau umenikumbusha home sana niko huko US now 15yrs nisalimie home mungu awabariki nyamweziland

mgogo muuza kahawa! said...

be mwamujengwa!tafadhali tuonyeshe picha nzima(full potrait)ya hawa kinamama/wanawake wa kinyamwezi,maana kuna kasumba fulani zimetawala vichwa vyetu sisi watanzania juu ya wanawake wa kinyamwezi,hebu tuonyeshe picha mbili tatu tuthibitishe haya yasemwayo!nimezungumza kifasihi zaidi ila naomba nieleweke!najua unalamba sana asali huko unyamwezini maana huko kuna viwanda vya asali,

nyembela said...

Muuza kahawa, wanyamwezi wana nini? maana mimi pia ni mnyamwezi. Unanifurahisha sana kusema hivo. anon wa kwanza, jamani hata mimi nzega ni kwetu na sijaenda siku nyingi pia, niko nje ya nchi. Asante sana kaka mjengwa kwa kutukumbusha nyumbani Tabora. Mambo yote ni unyamwezini tu. Ila najua tunafundishwa tabia nzuri na unyenyekevu tukiwa bado wadogo.

Post a Comment