Subscribe:

Saturday, February 28, 2009

Untitled


Kijiji cha Chipogoro, Dodoma, leo alasiri.
Reactions::

5 comments:

Anonymous said...

kama kawaida ya picha zako ,umeinama na umeshika kisogoni, siri yake nini hasa,au umeumwa na nyuki. nafikiri siku moja itatoa siri ya picha za namna hii.

Anonymous said...

Design ya kung'atwa na nyuki vile.

Anonymous said...

VI MWENYEKITI! UMENG`ATWA NA NYUKI AU! VIPI AU NDIO KHALI YA HAPO KIJIJINI INAKUSIKITISHA!!!! LABDA MAJI HAYAPATIKANIKI!! MPAKA MAIL NA MAIL KUYAPATA MAJI!! JAMANI HAWA MAFISADI SIO WA KUWACHEKEA KABISA!!! SASA ANGALIA MAISHA YA WATANZANIA YALIYO YA WENGI!!!! NI KARNE YA ZAMA ZA KALE

Anonymous said...

Mwenyekiti, hapo inaelekea kuna kisima, sasa unchungulia maji. maanake yako mbali sana. Inabidi uwe makini kuyachungulia wapi yalipo.

Anonymous said...

mwenyekiti kaumwa na nyuki,huoni kavaa shati la kitenge na maua,nyuki walizani maua ya kwenye mti kutua kwake ikawa hamadi kumbe ni kichwa cha binadamu,kaka mwenyekiti.

Post a Comment