Nilifika Nzega jana usiku wa saa mbili. Nzega ni ya watani zangu Wanyamwezi. Nilipofikia niliwakatilia watani zangu kuwa sitakula nyama ya kuku wa kuchoma wala chipsi maana hakukuwa na chakula kingine. Niliwaagiza watafute Nzega nzima nyumba ya mwoka chapati. Kwamba waje na chapati ili ninywe chai na chapati. Iliwezekana kama inavyoonekana pichani. Waweja kuzugha! Ina maana ya ' asante kwa kupika!'
Wednesday, February 25, 2009
Waweja Kuzugha!
Nilifika Nzega jana usiku wa saa mbili. Nzega ni ya watani zangu Wanyamwezi. Nilipofikia niliwakatilia watani zangu kuwa sitakula nyama ya kuku wa kuchoma wala chipsi maana hakukuwa na chakula kingine. Niliwaagiza watafute Nzega nzima nyumba ya mwoka chapati. Kwamba waje na chapati ili ninywe chai na chapati. Iliwezekana kama inavyoonekana pichani. Waweja kuzugha! Ina maana ya ' asante kwa kupika!'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Tanzanian Shilling Converter
3 comments:
Mwenyekiti! haya makuli kwa wale walio mbali na home wakiyaona haya mambo ya chai na chapati mate yote yanawatoka,manake sijui chai ya jioni hiyo! shuti kujichana kwa chapati
Wanyamwezi na Wasukuma lugha zao karibu ni sawa.
Wasukuma: Wabheja...
Wanyamwezi: Waweza....(kweli?)
anon wa pili ni kweli lugha zetu zimefanana, mi ni mnyamwezi, tunasema 'wawezya'. Jamani chai na chapati!, yaani sijala chapati zenyewe za nyumbani siku nyingi, ni kweli mate yanidondoka mwenzenu. Kaka mjengwa mwambie kaka michuzi atuwekee picha za vyakula pia mara mojamoja, japo tunuse na kutamani kwa picha. Tulio mbali fahari ya macho yatosha maana hatuna uwezo wa kuvipata huku tuliko.
Post a Comment