
Kaka hii ni ajali ya basi la Tonda iliyotokea juzi jumatatu pale kinegembasi kilomita 20 kabla hujafika makambako,gari yetu ilikua moja ya magari yaliyofika muda mfupi baada ya tukio,basi lilikua linatoka dar kwenda mbeya,abiria mmoja aliyefahamika kwa jina la said aliyekuwa akitoka dar kwenda mbeya alifariki pale pale angalia kwenye picha kuna mguu ndo wake,mama mwingine na mzee mmoja walifia makambako dispensary.
--
Godfrey Richard Mwanakulya
P.o box 200
Iringa
Tanzania
+255 714 592 665
Ritzinkuja 1 F 35 20380
Turku
Finland




Tanzanian Shilling Converter
2 comments:
RIP marehemu wote,athari za bidhaa feki za kichina ni pamoja na hii ajali
Habari zimenifikia kuwa aliyebanwa na kukatwa mguu hatimaye kufariki ni Bw. Hashim Nkya, Gavana aliyepita wa Lions Club ya Afrika Mashariki.
Mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peoni , amen.
Post a Comment