Subscribe:

Monday, March 23, 2009

Nani Anasema Watanzania Ni Wavivu Wa Kufikiri?


Huyo aliye pichani hajalala, anafikiri.Inahusu maisha. Pichani ni Dodoma Mjini. Nilikuwa huko majuma kadhaa yaliyopita.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

Sorry guys hivi kuna tofauti gani kati ya kufikiri na kuwaza ?
cos nataka kujua huyo anafikiria au anawaza?

Post a Comment