
Kwa siku ya jana. Gari la EMS lilikatika T-belt saa kumi alfajiri usiku wa kuamkia jana. Niliwakuta hapo Mikumi majira ya saa tano asubuhi. Ilimaanisha wasomaji wa magazeti kwa mikoa ya Iringa na Mbeya wangeyapata jioni au kutokuyapata kabisa. Pichani ni Bwana Hamisi ( mbele) na Sakala wakiwa katikati ya mbuga ya Mikumi.




Tanzanian Shilling Converter
5 comments:
Jamaa yuko peku!! Lakini jamani, sukumeni gari litoke nje ya hiyo yellow line na muweke triangle ya kuonyesha kuwa gari lenu limearibika ili wajao nyuma wawaone mapema....
Blackmpingo
Hivi EMS wanatumia namba za SU?
no wonder imekata belt, hao jamaa nawaaminia kwa kupiga ndonga kisawasawa hizo mashine.
huwa zikipiga mzinga unakuwa wa uhakika. lakini wanajitahidi sana.
Acheni hizo nyie wanga nini?Yaani mnatembea mkiwa hamna hata fenibelti ya akiba ni aina gani ya wapuuzi nyie wakati mnajua kwamba kwa ndonga mu wenyewe?
Madereva hawa walitakiwa wapitie umakanika kidogo na wajue namna ya kutengeneza gari under field conditions. hapo unafunga kamba ya katani inakutoa porini hadi mjini ndio unafunga fan belt cha muhimu usiende speed zaidi ya 50
Post a Comment