Anaitwa Gladness (4) yuko sambamba na mama yake aitwaye Flora kwenye warsha ya Maktaba za jamii inayomalizika leo pale Ilula, Iringa.
Reactions::
5
comments:
Anonymous
said...
habari ya kazi mzee wa kijiji, nilkuwa naomba kama itawezekana utupatie habari za huyu mtoto baada ya mwaka kwa mtazamo wangu anaelekea kuzuri kama akisaidiwa au kuhamasishwa zaidi na katika picha anaonekana ni mtoto anaejihamini katika kitu anachokifanya.
Jamani!!!! nimempenda huyo mtoto anaonekana yuko busy na ameishika kalamu yake vizuri. Hongera mama glad kwa kuwa na mtoto makini. Mwenyekiti ungempiga picha moja ya peke yake ingekuwa bomba
ninafurahi sana kuona mtoto mdogo kama huyo kupenda kuandika. huyu mtoto akipata matunzo mazuri atakua na elimu kubwa sana baadae. kipaji chake kinaanza kujionesha mapema. huyo mama yake anaonekana ni mama ametulia vizuri. yeye pia anaonekana anapenda kusoma. tujue kuna watu wengi nchini ambao wangeweza kupata elimu ya juu sana lakini hawakua na uwezo wa kufanya hivyo. tafadhali serikali wasaidieni watu kama hao kwa faida yetu baadae.
5 comments:

Atahkuwa hakamatiki kivipi hatokaa tena darasani kusoma na kujishuhulisha na mambo ya mchezo wa kitoto au ulikuwa na maana gani
Jamani!!!! nimempenda huyo mtoto anaonekana yuko busy na ameishika kalamu yake vizuri. Hongera mama glad kwa kuwa na mtoto makini. Mwenyekiti ungempiga picha moja ya peke yake ingekuwa bomba
Hilarious!!
She is the next AshaRose Migiro to be!

Post a Comment