Flora, mmoja wa washiriki wa warsha, akielezea kilichojadiliwa na kikundi chake kuhusiana na namna ya kuishirikisha jamii kwenye mipango ya maktaba katika vijiji vinavyokizunguka Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ulembwe, Njombe.
Reactions::
7
comments:
Anonymous
said...
sijaona shati la kitenge hapa au leo mwenyekiti umetoka vipi hapa? hongera sana kwa kazi kubwa unayofanya ya kuielimisha jamii
Mimi kama mama sielewi jamani jamani BABA wa huyo mtoto huko wapi???????kwa nini asikae na huyo mtoto ili mamsapu apate shule kwa siku chache tu!!!!!!!!!!!! jamani sasa huyo baba mtarajiwa (mtoto) hapo si analeta usumbufu? halafuuu ooooh kina mama hawana uwezo.UWEZO UTOKE WAPI wakati mnawapa mizigo mpaka ktk kufundishwa mnategemea nini ?enzi za .......(zijazo)si za mwl wala mwandishi wa habari wala za mzee ruksa (.....) wala JK hayo yataisha.Hongera sana mama.
Anony uliyemtaja mara Nyerere nk....... chukua vidonge hapa:......
Well, ungeambiwa majukumu anayoyafanya baba wa huyo mtoto, pengine ungeona ni heri tu mama ambebe mtoto. Mimi ungeniambia watafute mtu wa kushinda na mtoto, sawa. Lakini si lazima kwa baba. Je, kama baba amekwenda kwenye ujenzi? Ambako anatakiwa kwa mfano kufyatua matofali, au kukata miti mikubwa na kuchoma tanuru la matofali? Nakupa mfano tu. Je, kama amekwenda kulima kibarua ili watoto wa sekondari wapate ada? Usifikiri huyu mama kalazimishwa, ni makubaliano tu. Anony wa:- Thu Mar 26, 12:03:00 PM EAT, unaongea tu sababu umesikia sana kila kitu kinaongelewa namna ya kumkomboa mwanamke. Kumbuka mila zingine haziondolewi kwa siku 1. Na ni mgao wa kazi tu. Kwanini kwa mfano, inaponyesha mvua baba hupanda juu ya paa na kuezeka sawa kama nyumba inavuja? Kwanini huwa hamlalamiki kuwa mama naye apande juu?
Mhu ipo kazi, sie yetu macho hapo kuna maswali mengi ya kujiuliza na wala hakuna humu ndani mwenye majibu yake ila huyo mama na baba wa mtoto.
Inawezekana kabisa baba anaweza sana akabaki na huyo mtoto nyumbani au hata kwenye shughuli zake, na inawezekana kabisa hapo nyumbani au karibu na hapo wapo mawifi, mkwe na ndugu wengine ambao wangekaa na huyo mtoto kutokana na mazingira halisi ya vijijini kwetu. Lakini pengine huyo mama ameambiwa
"kama unataka kwenda huko kwenye hicho kisomo chako beba mwanao uende naye, na usimwache kwa mtu yeyote"
Sasa na yeye kwa kuwa anataka kwenda kwenye hiyo samina/semina ameona kuepusha shari bora ambebe mwanao aende naye. Mnataka kuniambia akienda msibani anaenda naye? Hivi hamjui huko kwenye semina kumekuja wageni, na wageni vijijini wanaangaliwa kwa macho ya wasi wasi (wanaogopwa wataiba wake/wachumba za watu)? Sasa hiyo ni abiria chunga mzigo wako, akienda na mtoto wake mngongoni mwenye mkewe huko aliko anabaki na amani rohoni kuwa hawezi kuibiwa!
7 comments:
sijaona shati la kitenge hapa au leo mwenyekiti umetoka vipi hapa?
hongera sana kwa kazi kubwa unayofanya ya kuielimisha jamii
Hongera Mwenyekiti
By Mchangiaji
Mimi kama mama sielewi jamani jamani BABA wa huyo mtoto huko wapi???????kwa nini asikae na huyo mtoto ili mamsapu apate shule kwa siku chache tu!!!!!!!!!!!! jamani sasa huyo baba mtarajiwa (mtoto) hapo si analeta usumbufu? halafuuu ooooh kina mama hawana uwezo.UWEZO UTOKE WAPI wakati mnawapa mizigo mpaka ktk kufundishwa mnategemea nini ?enzi za .......(zijazo)si za mwl wala mwandishi wa habari wala za mzee ruksa (.....) wala JK hayo yataisha.Hongera sana mama.
Anony uliyemtaja mara Nyerere nk....... chukua vidonge hapa:......
Well, ungeambiwa majukumu anayoyafanya baba wa huyo mtoto, pengine ungeona ni heri tu mama ambebe mtoto. Mimi ungeniambia watafute mtu wa kushinda na mtoto, sawa. Lakini si lazima kwa baba. Je, kama baba amekwenda kwenye ujenzi? Ambako anatakiwa kwa mfano kufyatua matofali, au kukata miti mikubwa na kuchoma tanuru la matofali? Nakupa mfano tu. Je, kama amekwenda kulima kibarua ili watoto wa sekondari wapate ada? Usifikiri huyu mama kalazimishwa, ni makubaliano tu. Anony wa:-
Thu Mar 26, 12:03:00 PM EAT, unaongea tu sababu umesikia sana kila kitu kinaongelewa namna ya kumkomboa mwanamke. Kumbuka mila zingine haziondolewi kwa siku 1. Na ni mgao wa kazi tu.
Kwanini kwa mfano, inaponyesha mvua baba hupanda juu ya paa na kuezeka sawa kama nyumba inavuja? Kwanini huwa hamlalamiki kuwa mama naye apande juu?
Mhu ipo kazi, sie yetu macho hapo kuna maswali mengi ya kujiuliza na wala hakuna humu ndani mwenye majibu yake ila huyo mama na baba wa mtoto.
Inawezekana kabisa baba anaweza sana akabaki na huyo mtoto nyumbani au hata kwenye shughuli zake, na inawezekana kabisa hapo nyumbani au karibu na hapo wapo mawifi, mkwe na ndugu wengine ambao wangekaa na huyo mtoto kutokana na mazingira halisi ya vijijini kwetu. Lakini pengine huyo mama ameambiwa
"kama unataka kwenda huko kwenye hicho kisomo chako beba mwanao uende naye, na usimwache kwa mtu yeyote"
Sasa na yeye kwa kuwa anataka kwenda kwenye hiyo samina/semina ameona kuepusha shari bora ambebe mwanao aende naye. Mnataka kuniambia akienda msibani anaenda naye? Hivi hamjui huko kwenye semina kumekuja wageni, na wageni vijijini wanaangaliwa kwa macho ya wasi wasi (wanaogopwa wataiba wake/wachumba za watu)? Sasa hiyo ni abiria chunga mzigo wako, akienda na mtoto wake mngongoni mwenye mkewe huko aliko anabaki na amani rohoni kuwa hawezi kuibiwa!
Kalaghabaho
Subira
safi sana mama pichani napendekeza wanawake waruhusiwe kisheria kwenda na watoto wao migongoni maofisini badala ya kuwwaachia ma-house girls wawalee.
HUYO MAMA KAMA HAJAOLEWA MIMI NATAKA NIMUOE NIMSAIDIE KUMLEA MWANAE NAOMBA MAWASILIANO YAKE
Post a Comment