Subscribe:

Tuesday, March 31, 2009

Jukumu Ni Lile Lile


Katika siku tatu zilizopita mimi na wenzangu tulikuwa na harakati nzito za usiku a mchana kuhakikisha kuwa, japo katika mazingira magumu, ' Kwanza Jamii' , gazeti la jamii,linawafikia wanajamii katika tarehe tuliyowaahidi. Shukrani za pekee kwenu nyote mlioonyesha utayari wa kuandaa kazi zenu na kuzituma kwangu zikiwa na ubora mkubwa. Mmechukua muda wenu kufanya kile ambacho jamii ya Watanzania itanufaika nacho. Toleo la kwanza la ' Kwanza Jamii ni mwanzo wa maandalizi ya toleo lijalo, tutaendelea kupokea kwa moyo mmoja, michango yenu ya makala. Ahsanteni sana.
Reactions::

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana mwenyekiti. Ni hatua kubwa sana uliyoipiga. Na mungu mwema utafanikiwa ktk kufikia malengo uliyojipangia. Japo nilishakwambia hapo nyuma kuwa ktk msafara wa kenge na Mamba pia wamo! Mamba wapo ktk kuleta changamoto zaidi. Usiwaogope.

Anonymous said...

Congrata my friend Maggid.

Mdau-USA

Post a Comment