Sijasomea uandishi habari lakini nina interest ya kuandika. Sina elimu ya juu, Mtanikaribisha?Vipi kuhusu terms zenu kimalipo!
Timu imekamilika.
Hii ndio dream team in Journalism Tanzania.Hongereni
Nafurahi sana kuona sura ya BAPNamkumbuka sana kwa mjadala wa Kingunge ndani ya Kijiji hiki.Niwapongeze sana kwa kuanzisha gazeti "Kwanza Jamii" Nina imani kubwa sana na Maggid. Bap sina mashaka naye kabisa.Inaonesha ni muelewa wa mambo mengi sana.Kwanza jamii, liwe la jamii kwelikweli, lisiwe la MPITO.Jamii kubwa ya wa TZ wanaishi vijijini itapendeza zaidi iwapo mtakuwa mnawakumbuka katika kwanza jamii.
...Kweli hiyo Timu Imetulia, Ndugu Mwenyekiti. Tunategemea makubwa na Tofauti kutoka kwenu. PONGEZI!
5 comments:
Sijasomea uandishi habari lakini nina interest ya kuandika. Sina elimu ya juu, Mtanikaribisha?
Vipi kuhusu terms zenu kimalipo!
Timu imekamilika.
Hii ndio dream team in Journalism Tanzania.Hongereni
Nafurahi sana kuona sura ya BAP
Namkumbuka sana kwa mjadala wa Kingunge ndani ya Kijiji hiki.
Niwapongeze sana kwa kuanzisha gazeti "Kwanza Jamii"
Nina imani kubwa sana na Maggid. Bap sina mashaka naye kabisa.
Inaonesha ni muelewa wa mambo mengi sana.
Kwanza jamii, liwe la jamii kwelikweli, lisiwe la MPITO.
Jamii kubwa ya wa TZ wanaishi vijijini itapendeza zaidi iwapo mtakuwa mnawakumbuka katika kwanza jamii.
...Kweli hiyo Timu Imetulia, Ndugu Mwenyekiti. Tunategemea makubwa na Tofauti kutoka kwenu. PONGEZI!
Post a Comment