Mimi pia nitashukuru kuona picha za Kondoa, kwani sijawahi kuja huko. Napangia kuja na kikundi cha wanafunzi hivi karibuni, katika somo fulani. Kazi yako Mheshimiwa Maggid inatunufaisha wengi kielimu.
Dah asee mwenyekiti umenikumbusha hako kakibao maana mwaka jana mwezi wa 10 nilikwenda huko konda wakati tunaelekea huko kwa kweli tulijawa na hofu sana kukatisha hilo pori lenye msitu mnene sana lakini kwa uweza wa Mungu tukafika salama na kugeuza salama, ila ningetoa changamoto tu kwa hawa ndugu zetu ambao wanatokea huko kondoa kwa kweli MJI WENU UPO CHINI SANA KIMAENDELEO, KWA NYIE AMBAO MPO MIJINI HUMU JARIBUNI KUFANYA VIKAO MUANGALIE NI JINSI GANI MTAINUA MJI WENU SI KUIACHIA SERIKALI TU MAANA KUSEMA ZA UKWELI MJI BADO UPO CHINI SANA KIMAENDELEO, MWENYEKITI NAOMBA NISISOMEKE VIBAYA NAJARIBU KUTOA KILE NILICHOKIONA HAPO KONDOA. Willy-udsm
bwana mjengwa ninakushukuru sana kwa kutuletea hizi picha xa sehemu mbalimbali za tanzania. picha zako kwakweli zimekua kama education. hii imekua eye opener sasa ndio ninajua kuwa nchi yetu inaumaskini sana. kwakweli tuna safari ndefu kubadilisha tanzania. hii yote itawezekana kwasababu hata nchi zilizoendelea mbeleni walikuwa kama sisi. maisha ya watanzania yatabadilishwa na watanzania na sio watu kutoka nje.
kwakweli wananchi wanatakiwa kusaidiwa kwa vitu kama majembe, nyavu n.k. ambavyo haviitaji pesa nyingi kuliko serikali kutumia pesa nyingi kufufua shirika la ndege la ATC. hizo pesa wanazozitupa huko itakujakua hasara tupu kwa watanzania. serikali isiweke pesa kwenye vitu vikubwa peke yake na kusahau kwamba wanainchi wengi hawana hata pesa zakununua majembe ili wafanye kilimo. tanzania mungu ametujalia ardhi kubwa na nzuri. imagine kama watu wengi wangelima kwa bidii tungelikuwa na chakula kingi sana.
6 comments:
Tafadhal
Tuletee picha na habari zaidi za Kondoa
Miaka hiyo iliyopita tulikuwa tunawinda sana huko
Wakatabahu
Mimi pia nitashukuru kuona picha za Kondoa, kwani sijawahi kuja huko. Napangia kuja na kikundi cha wanafunzi hivi karibuni, katika somo fulani. Kazi yako Mheshimiwa Maggid inatunufaisha wengi kielimu.
Dah asee mwenyekiti umenikumbusha hako kakibao maana mwaka jana mwezi wa 10 nilikwenda huko konda wakati tunaelekea huko kwa kweli tulijawa na hofu sana kukatisha hilo pori lenye msitu mnene sana lakini kwa uweza wa Mungu tukafika salama na kugeuza salama, ila ningetoa changamoto tu kwa hawa ndugu zetu ambao wanatokea huko kondoa kwa kweli MJI WENU UPO CHINI SANA KIMAENDELEO, KWA NYIE AMBAO MPO MIJINI HUMU JARIBUNI KUFANYA VIKAO MUANGALIE NI JINSI GANI MTAINUA MJI WENU SI KUIACHIA SERIKALI TU MAANA KUSEMA ZA UKWELI MJI BADO UPO CHINI SANA KIMAENDELEO,
MWENYEKITI NAOMBA NISISOMEKE VIBAYA NAJARIBU KUTOA KILE NILICHOKIONA HAPO KONDOA.
Willy-udsm
bwana mjengwa ninakushukuru sana kwa kutuletea hizi picha xa sehemu mbalimbali za tanzania. picha zako kwakweli zimekua kama education. hii imekua eye opener sasa ndio ninajua kuwa nchi yetu inaumaskini sana. kwakweli tuna safari ndefu kubadilisha tanzania. hii yote itawezekana kwasababu hata nchi zilizoendelea mbeleni walikuwa kama sisi. maisha ya watanzania yatabadilishwa na watanzania na sio watu kutoka nje.
Naomba radhi mdau Anon 09.56
Naheshimu mawazo yako, yana uzito wa Nabii Suleiman-(RAA)Lakini mie maskini, ukitaka nilime japo nipe jembe, na ukitaka nivue basi nipe nyavu

Post a Comment