Subscribe:

Monday, March 23, 2009

Maisha Ndivyo Yalivyo


Mara nyingi humo ninamopita hukutana na Watanzania wenzetu wanaotembea kwa miguu kilomita kwa kilomita. Huwa kuna mawili; hakuna usafiri, au hawana nauli. Pichani ni njia ya kwenda Mpwapwa, Dodoma.
Reactions::

3 comments:

Anonymous said...

Chakufurahisha ni kuwa hayupo pekeyake yupo na mshirika huyo mbwa ambae mara nyingi ni msada mkubwa kwa binadamu ikiwa ni rafiki yako

Anonymous said...

BARABARA HII HAIONESHI MATUMAINI YOYOTE KWA WANANCHI WA ENEO HILO, KWA UFUPI WATAKUFA NA UMASIKINI WAO UTAJIRI WATAUONJA WAKATI WA KAMPENI ZA CCM KWANI HAPO NDIPO WATAKAPOELEZWA KUHUSU MAFANIKIO WALIYOYAPATA KAMA MAJI NA UMEME LICHA YA KUTOVIONA VITU HIVYO.

mgogo muuza kahawa! said...

be mwenyekiti!kamboga hako unakaachia?aisee nilipo iangalia hii picha kwa mara ya kwanza bila kusoma maelezo nikajua tayari maajabu ya meshatokea huko kwetu,"mbwa kapita lakini zimetokea alama za matairi ya gari"nimestuka!
nimepita kukusalimia mwenyekiti na wanakijiji wenzangu!na pia kuwauzia kahawa kidogo hapa barazani!mie sijambo

Post a Comment