Pichani mtoto Gladness anaonekana kama vile anamwelekeza jambo mama yake aitwaye Flora. Ilikuwa ni kwenye warsha ya maktaba kwa jamii pale Ilula FDC jana.
Huyo hamwambii umekosea, nadhani anatafuta "kugezia" (ndiyo lugha yetu enzi hizo kumaanisha kukopi ama kuibia = kuchapia), anataka kulinganisha vyake na vya mamake. Kazi ipo!
Akhsante mzee wa kijiji kwa picha nyingine ya dogo hapo juu, siku zote msingi ndio shina la maendeleo na kijana anaonekana kuwa katika mwelekeo mzuri, ningeomba kama picha hizi za huyo mtoto utafute web site ambayo inashughukika na taswira kwa ajili ya tuzo za taswira maana picha hizo zinafundisha mambo mengi kwajamii.Halafu inaonekana dogo kazidiwa na hesabu za kuzidisha ndio maana ilibidi kugezea kutoka kwa wanazijua bado hajafundishwa lakini kajaribu.
2 comments:

Post a Comment