Subscribe:

Sunday, March 29, 2009

Mambo Ya Japan Haya!


Mkuu hapa Japan hawa jamaa wakiwa bara barani wanaogopewa kuliko hata simba nakuambia. Hapa Driver 's wote watafuata sheria, No simu no speeding na wote wamefunga Mkanda.
Reactions::

4 comments:

Anonymous said...

Ni nje ya mkitadha wa picha...lakini yafaa isomwe:

By SUKDEV CHHATBAR, Associated Press Writer Sukdev Chhatbar, Associated Press Writer – Sun Mar 29, 11:13 am ET

ARUSHA, Tanzania – A goods train hit a stationary passenger train in central Tanzania Sunday, killing at least 15 people, a government official said.

William Lukuvi, the regional commissioner of Dodoma town where the crash occurred, said the accident happened around midday Sunday.

BAP

Anonymous said...

Mbona wa kushoto hakufunga mkanda?

Anonymous said...

Mbona wa kushoto hakufunga mkanda?

Anonymous said...

m/ kiti ,ni kweli kwamba mshiak mbili ,moja humponyoka. nakosa uvumilivu kuwa,unaonaje useme kuwa umetema blog, utupunguzie usumbufu wa kufungua page hii mara kwa mara tukifikiri umepost mambo na kukuta kama ilivyokuwa jana. inatia hasira japo hatulipi chochote.
niliwahi kusema,ile trend ya kuanzai gozi inaweza kufika hadi huku,dalili ya mvua ni mawingu, tafadhari kuwa serious.

Post a Comment