Subscribe:

Tuesday, March 24, 2009

Mitaa Ya Kati Mpwapwa


Dodoma.
Reactions::

3 comments:

Anonymous said...

Cute little baby nafikiri ni Rose Minja huyo, anafanana nae kweli

Anonymous said...

Tazama mtoto mzuri kama huyu ananyimwa fursa na kuzimwa tumaini lake la maisha bora kwa sababu ya wizi wa mafisadi na ubinafsi wa watawala wetu!
Taifa lazima liwahakikishie watoto kama huyu kupata lishe bora, tiba bora na elimu bora ili kuwa na nguvu kazi bora kwa ustawi wa taifa letu!
Ktk Wimbo wetu wa Taifa tunamwomba Mungu awabariki watoto wa Afrika na Tanzania, mbona sisi wenyewe tunawanyanyasa kwa kuwanyima fursa??

Ubarikiwe mtoto mzuri, ukue uwe Dr. Asha Rose Migiro na Prof Anna Tibaijuka wa baadae!!

mgogo muuza kahawa! said...

kunatofauti yoyote inayojitokeza ukubwani kati ya watoto waliotumia muda mwingi kulelewa na hausi geli na wale walioshinda na mama?uwe na amani mwenyekiti na pia ndugu zangu hapa nbarazani!

Post a Comment