Subscribe:

Sunday, March 22, 2009

Mwaka 1988- ' Naonja Maji Kijijini Kwetu Nyeregete!'


Alikozaliwa baba yangu. Ni kilomita 8 kutoka mji wa Rujewa, wilaya ya Mbarali, Mbeya.( Picha nyingine zinanishtua hata miye mwenyewe. Imepita zaidi ya miaka 20 na bado napenda staili hiyo ya mavazi; batiki/kitenge na jeans!)
Reactions::

7 comments:

Anonymous said...

Hivi tanzania ni laana au.

Kweli suala la maji ni tatizo!!

Niliwahi kupita wilani kwa mhisimiwa wa kweli mwaka juzi! du!! sikuyaamini macho yangu. Yaani unamkuta mama anachota maji ya mvua yaliyotuama barabarani!!!

Si mbali jama ni Chalinze-Baga.

Hili eneo la Pwani maji ya ardhini si mengi tu, kwanini wasichimbiwe visima!

Tumekali politi,

Anonymous said...

Matangazo ya Vifo leo R/One kuna.

Nimesikia kama jina la mwanahabari mmoja!!!

Anonymous said...

mjengwa maji umechemsha hayo au unakunywa tuu!!uogopi kipindupindu

Anonymous said...

Kweli mwenyekiti umetoka mbali na vitenge
But yanakupendeza sana

Anonymous said...

Iyo PEKUPEKU au kuna marapa hapo

Anonymous said...

Nchi yetu haikutakiwa kuwa katika hali kama hii ni viongozi tunao wachagua HAWATOSHEKI

Mliakuvana said...

Hicho kisima bado kipo lakini au kilishakauka au kuhujumiwa?

Post a Comment