
Mwonekano wa ' Kwanza Jamii' sivyo vile ilivyotakiwa iwe. Mast-head hiyo ni ya upande wa nyuma.Ni makosa ya kiufundi! Hutokea binadamu akajikuta amevaa shati nje ndani na hasa nyuzi na rangi za shati zinapowekwa na kufumwa kwa umahiri!
Makosa hayataisha, ila tunaahidi toleo lijalo tutayapunguza. Kwanza Jamii litawekwa kwenye mtandao pia, tuko katika kukamilisha details za mwisho mwisho kabla ya kulirusha hewani!




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
Mwenyekiti hongera sana, ukiona wajasiriamali wa kitanzania lazima uwaunge mkono. Kila jema mkuu katika Kwanza Jamii.
Post a Comment