Yeah ni Dodoma hapo, mwenyekiti umenikumbusha, hilo bango lipo nje hapo ya ofisi za ujenzi Dodoma karibu kabisa na railway club. Kulikuwa na uwanja karibu kabisa na hapo nilikuwa mhudhuriaji mzuri kutazama mechi mbali mbali. Baadae kujiachia ndani ya railway club karibu na hapo kwani ndio ilikuwa club yetu watoto wa railway
Kweli hapo ni Dodoma, opposite na Rail Club na round about ya kituo cha mabasi. Nashukuru kibao hiki kuchorwa upya, kwani kile cha kwanza kilikuwa kimepauka na umbali ulikuwa umefutika. Naomba kuwasilisha
3 comments:
Hapa ni Dodoma ukitokea stendi kuu ya mabasi karibu na Petrol Station

Post a Comment