Ukishaanza kuposti picha za Mikumi, aidha unaelekea ama unatoka Iringa/Dar!
Subi karibu useme ukweli kasoro umeekosea sehemu moja. Siyo Dar bali Bagamoyo (Bwagamoyo)
Shimba ya buhongo, nakubali, nilikatiza safari yake, afadhali umesaidia kuikamilisha.
Siamini kama ni Mikumi hapo ati! yaani Tembo na meno yake kamili!
4 comments:

Post a Comment